The thing about ‘kukaa na wasee hawanaga doo’
Ok. Relax bana. Soma blog post yote kwanza. Ni nini? Unasoma tu title na ushaget feelings na attitude about what this post is about. So, acha tu niseme nimemeet wasee aina mob ikifika stori ya doo. Kuna wasee wana doo, wasee wanadhani wana doo, wasee wana soo utadhani wana ngiri soo, wasee wana ngiri soo [...]

